Wataalamu wa lishe wanasema samaki ni chakula kizuri kwa afya. Lakini sasa wanasayansi na wataalam wanasema kwamba wanawake wajawazito wanapaswa kula kitoweo hiki kwa kiasi kidogo. Wakati ambapo ...
Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha samaki aina ya bigmouth buffalo wana maisha marefu na huzidi kuwa na afya bora kadiri wanavyozeeka. Lakini wanasayansi wana wasiwasi kuwa idadi yao inazidi kupungua ...